• KUHUSIANA NASI
 • MAONO
 • TOPIKI ZA AFYA
 • WASHIRIKA
 • MADA KUU
 • MRADI
 • SHUHUDA
 • RSS
 • VIDEO ON YOUTUBE
 • SLIDESHOW ON FLICKR
 • BLOGI
 • Facebook
 • SLIDESHARE
 • Twitter
 • Kauli ya Rais

  “Hatuwezi kukubali leo hii wanawake waendelee kufa wakati wakijifungua.”

  Malengo ya Milenia yaliyotangazwa mnamo Septemba 2000 yalikuwa hatua kubwa katika kuboresha afya ya akinamama na watoto duniani kote, hususani katika nchi zinazoendelea, ambako huduma hizi zinahitajika sana.

  Katika kukubaliana na Malengo ya Milenia, wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa waliazimia vilivyo kutekeleza malengo haya ifikapo mwaka 2015. Jambo moja muhimu miongoni mwa malengo haya lilikuwa kupunguza kwa theluthi mbili vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya miaka mitano, na kupunguza kwa robo tatu vifo vya uzazi kwa akinamama.


  soma zaidi
 • Historia yetu
 • Timu Yetu
 • Wafanyakazi wa Kujitolea
 • washiriki
 • Mwongozo Wetu

  Shughuli zote za shirika la WAHA International hufuata maadili na kanuni zinazoakisi malengo ya shirika hili.


  soma zaidi
 • Wito Wetu
 • Malengo yetu
 • Majukumu ya Mradi
 • Fistula

  Fistula ni ugonjwa hatari ambapo tundu hutokea kwenye mlango wa uzazi. Tundu hili linaweza kutokea kati ya uke na njia ya haja kubwa au kati ya kibofu na uke baada ya mama kushindwa kujifungua au kutumia muda mrefu kujifungua. Matokeo yake ni kwamba wanawake wenye fistula hujikuta katika matatizo makubwa ya kutokwa ovyo na mkojo au na kinyesi, na mara nyingi hujifungua mtoto mfu.


  soma zaidi
 • Afya ya watoto wachanga
 • Afya ya akinamama

HABARI

08.Machi

Somalia: Wagonjwa zaidi wa fistula wawasili Mogadishu kwa matibabu

Awamu ya pili ya matibabu ya fistula.

Katika kipindi cha miezi miwili iliyopita, jumla ya wagonjwa 72 wa fistula ya uzazi wamefika katika wodi yetu mjini Mogadishu.
kuona zaidi mada maalumu

10.Mei

Chadi

Mwaka 2011, shirika la WAHA International lilianza kufanya kazi huko Njamena, mji mkuu wa Chadi, ili kusaidia utoaji wa huduma za tiba ya fistula.
Miradi Yote

17.Aprili

Sumaiya

Sumaiya, miaka 18, kutoka Mkoa wa Magharibi wa Sudani

03.Agosti

https://youtube.com/devicesupport

https://youtube.com/devicesupport http://m.youtube.com

19.Aprili

Hospitali ya Cox's Bazar, Bangladeshi

Siku 5 nchini Bangladeshi: Dk. Mulu Muleta awafanyia operesheni wanawake 16 wenye fistula ya uzazi

23.Aprili

Blogu ya Eric: Safari kupitia eneo la mapigano ili kwenda kujifungua

Mwezi Machi ulishuhudia kuongezeka kwa kazi katika hospitali yetu. Sambamba na kazi zetu, kuna mapigano yasiyopungua katika jiji hili.

Facebook

Fechar Fechar
.

RAMANI